3
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na opioid – Vidonge haramu, vya kulevya na hatari …
source
9 comments
MUNGU AWASIMAMIE KATIKA TAFITI CHANYA KAMA HIZI😢
Hata hapa tanzania Watu wanatumia
Kufungwa cheni bado inawadumiza kifikra na utumwa, ushauri ni kuchukua mbinu mbadala tofauti, yapo mageti ya chuma, wanaweza cycle hapo hapo kutoka vyuma chakavu, lakini cheni bado inaumiza sana kifikra na kimwili, ukitazama kwa makini wengi wana vidonda , haviwezi pona kama bado wapo katika hali hii. Mageti ya chuma watumie kama mirango japo kupunguza maumivu na mawazo. Naimani fikra zitabaridika na watatoka kwenye giza.
Asanteni sana African eye 👁 kwa hakika munafanya kazi kubwa kupinga uhalifu
Adui wa kwanza wa Africa ni mwagrika wenyewe, umasikini umetufanya tujali pesa zaidi kuliko ustahimilivu na maendeleo ya nchi na jamii zetu.
Waagizaji na watengenezaji wa dawa haramu hii wakamatwe na kufunguliwa mshtaka. Wao hao wanastahili kuswekwa mahabusuni.
im making a documentary alike yours based in tanzania, dar es salaam. get intouch plz
Ati mnoa nyewele anapata kibali cha kufanya kazi, mpishi msaidizi na muosha vyombo anapata kibali na wanahamia na familia zao awamu la sita kiboko, wazalendo hawana kazi…
Sina imani na wahindi wa India kabisa wanaopata vibali kama njugu sikuhizi…